Katika makala haya msikilizaji utasikia mengi kuhusu sanaa ya filamu na vichekesho kutoka kwa wasanii wa Timamu African Media ya Dar es Salaam Tanzania kama Ebitoke, Bwana Mjeshi na Mr. Beneficial , ...
Hakujua kama anatalanta ya kuchekesha, akiwa kwenye majukumu ya kazi wasikilizaji wake walikuwa wakivunjwa mbavu kutokana na aina ya uchekeshaji wake, hakuishia hapo wafanyakazi wenzie walikuwa hoi ...
Mcheza filamu za vichekesho nchini Marekani, Gene Wilder amefariki dunia akiwa na miaka 83. Wilder amekua akiugua ugonjwa kwa kukosa fahamu{ Alzheimers}. Aliwahi kucheza filamu maarufu ya , ''Willy ...
Eriko Kobayashi alisimulia mkasa wake ,"Alilazwa hospitalini kwa kujaribu kujiua,," Kobayashi ameiambia BBC. "Alinipa pete kama zawadi ili kunihamasisha kutoa ujumbe wangu, na tukakumbatiana." ...